AISHA SURURU FONDITION YATOA MSAADA WA MAGODORO KWA WANAFUNZI WALIOPO MSIKITI WA IDRISA KARIAKOO,JIJINI DAR Jul 28th 2013, 08:55, by noreply@blogger.com (MUHIDIN MICHUZI) | Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Bi. Aisha Sururu (kulia) akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia,pindi wamalizapo masomo yao. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition, Aisha Sururu kulia akimkabizi mmoja wa vijana wanaojisomea katika kambi ya msikiti wa Idrisa, Muhsin Juma mashuka pamoja na magodoro aliyotoa kwa ajili ya vijana hawo kulalia. |
ConversionConversion EmoticonEmoticon