MICHUZI: MDAU SIMALENGA NA NEEMA WAMEREMETA LEO JIJINI DAR

MICHUZI
Libeneke la Globu ya Jamii 
thumbnail MDAU SIMALENGA NA NEEMA WAMEREMETA LEO JIJINI DAR
Jul 27th 2013, 19:47, by noreply@blogger.com (MUHIDIN MICHUZI)

Kambi ya Wasanii wa Filamu na Maigizo pamoja na Kambi ya Waanahabari Makapela Tanzania imepata pigo kubwa baada ya Mwanachama wake Nguli, Simon Simalenga kuamua kuiaga kambi hiyo na kuingia rasmi katika Kambi Tawala ya Wanandoa baada ya kufunga Ndoa na Bi. Neema Inana. Wawili hao wameamua kuingia kambi hiyo ya Upinzani katika mahusiano leo katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi Sinza jijini Dar es Salaam na baadae katika tafrija kubwa inayofanyika usiku huu wa Julai 27, 2013 katika ukumbi qa Grande Hall uliopo ndani ya Hoteli ya Picolo Beach Mbezi. 
Production: MD Digital Company: +255 373 999/+255 717 002303 
Whatsapp +255 788 207274.



You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions
Previous
Next Post »