MICHUZI: RASIMU YA KATIBA: WANANCHI MOSHI, KALAMBO NA MUSOMA WAJADILI NA KUTOA MAONI

MICHUZI
Libeneke la Globu ya Jamii 
thumbnail RASIMU YA KATIBA: WANANCHI MOSHI, KALAMBO NA MUSOMA WAJADILI NA KUTOA MAONI
Jul 25th 2013, 20:38, by noreply@blogger.com (MUHIDIN MICHUZI)

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea na Wajumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Musoma Vijijini waliokutana kujadili Rasimu ya Katiba. Mkutano huo ulifanyika wilayani Musoma.
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro Prof. James Mdee akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika mjini Moshi hivi karibuni.
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro Bi. Elingao Mshanga akitoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba katika mkutano uliofanyika mjini Moshi juzi.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu akiongea na baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Katiba la wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wakati wa mkutano wa kujadili Rasimu ya Katiba. Mkutano huo ulifanyika wilani Kalambo hivi karibuni.

You are receiving this email because you subscribed to this feed at blogtrottr.com.

If you no longer wish to receive these emails, you can unsubscribe from this feed, or manage all your subscriptions
Previous
Next Post »